from Coasts in Solidarity Hakuna mtu ni haramu, milele! –Fungua mipaka yenu, fungua mecho yenu! Wito wa kuchukua hatua Juni 20, 2020 – Siku ya Wakimbizi Ulimwenguni – Shiriki hapa! Corona anatuzuia kukutana - kwa hivyo tutatawanyika badala yake! Jiunge na hatua ya mshikamano wa kimataifa popote ulipo na onyesha kuwa mapambano zidi ya sera […]
Geen opmerkingen:
Een reactie posten